Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huko kudeka sasa. Watoto wa kishua nyie mtakuja kufa hata na umayai na ubishololo tu hata kama mko wazimaWe haya tu....me mafua tu ya kawaida uwa yananilaza, huyo corona si ntakufa ghafla tu
Sent using Jamii Forums mobile app