Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dunia imekuwa bize sana wakati huu, Asilimia 75 ni green light kabisa kwa hilo jiwe kuja ila vitu vingine vinakuwa nje ya uwezo wetu kabisa hatuna chakufanya zaidi ya kutoa kauli zilizo jaa jina la Mungu

#Mungutuepushie
#Mungutusaidie
Hili jiwe wamelipachika jina la Apophis na watu wa conspiracy na wanaoamini katika unabii wa kitabu cha Ufunuo katika Biblia wanaamini kuwa jiwe hili litaitwanga dunia mwaka 2029 na NASA wanajua japo wanaficha. Eti ndiyo sababu iliyomfanya Trump kuunda tawi jipya la jeshi la Marekani linalojihusisha na mambo ya anga za juu pekee. Eti tayari kuna kitengo kinachohangaika kuona nini cha kufanya ikiwemo kurusha vyombo vyenye mabomu ya Nyuklia na kwenda kuyaripua karibu na jiwe hili ili kulifanya lisogee kidogo kwenye njia yake na kuwa mbali kidogo na dunia ili litukose kose huo mwaka. Mwaka 2004 lilipita kwa mbali kidogo na hata likitukosa mwaka 2019 likija kurudi tena kwa hakika halitaikosa dunia....

Elon Musk: "A big rock will hit Earth eventually"
 
Back
Top Bottom