Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

“This the Prophet Mohamed” ndio kitabu kikubwa zaidi duniani kikiwa na uzito wa kilogramu 1500, kikipatikana Dubai Falme za Kiarabu. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa simulizi za maisha ya Mtume Muhamad na huduma za kijamii ambazo Uislam umefanya duniani.
 
Eti huwa tunafanyaga nini kuwaepuka? Moana [emoji3][emoji3]
Ila wanaume muwage waelewa jamani, wengine hatuna lugha chafu basi nikikwambia hapana haiwezekani uelewe. Huwa mnatutesa sana mwisho wa siku naishia kukipiga Block
Sasa tunajua hiyo inakuwa sitaki nataka ndio maana huwa tunaliendeleza. Halafu huwa mnapenda kidogo kidogo mwisho wa siku unamtunuku kwa kumuonea huruma ya usumbufu uliomsababishia [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue me nashindwa kuelewa. Si walisema kirusi hakina dawa!! Then how come hao wamepona?
Na vipi yule wa Kenya? Sikusikia tena. Shwain zako we Kirusi, nitafata tu tahadhari na kumuomba Mungu wangu wallah lkn sitaki kusikia story yoyote kumuhusu Corona.
Mwafrika hawezi kufa kwa mafua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona eenh?? Mie huwa nawaambia tayari nina mtu vipi uko tayari kushare na mwanaume mwenzio?? Nikijua kwamba wanaume huwa hawapendi kushare wanawake hivyo wakisikia wanajiengua wenyewe!! Japo wengine wabishi hao huwa wanasema hayo ndiyo majibu yetu wadada washayazoea maana huwa hatumaanishi!!
Eti huwa tunafanyaga nini kuwaepuka? Moana [emoji3][emoji3]
Ila wanaume muwage waelewa jamani, wengine hatuna lugha chafu basi nikikwambia hapana haiwezekani uelewe. Huwa mnatutesa sana mwisho wa siku naishia kukipiga Block
 
Kuna mtu mmoja humu JF tena mkongwe sana aliwahi niambia "mtu anapoamua kubadili id huwa na sababu zake binafsi", na chanzo cha yeye kuniambia hivyo ni baada ya mimi kumuomba mtu fulani ninayemkubali sana humu arudishe id fulani aliyowahi kuitumia hapo nyuma.
Kwaupande wangu mimi sina sababu ya ziada [emoji16]
 
Umeona eenh?? Mie huwa nawaambia tayari nina mtu vipi uko tayari kushare na mwanaume mwenzio?? Nikijua kwamba wanaume huwa hawapendi kushare wanawake hivyo wakisikia wanajiengua wenyewe!! Japo wengine wabishi hao huwa wanasema hayo ndiyo majibu yetu wadada washayazoea maana huwa hatumaanishi!!
Vipi akisema yupo tayari kushare?
 
Back
Top Bottom