Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1584397646102.jpeg
 
Khantwe njoo uone data za leo. Wagonjwa 169, 000 duniani kote. Waliofariki 6, 500. Zaidi ya 77, 000 wamepona....
View attachment 1390571
Ujue me nashindwa kuelewa. Si walisema kirusi hakina dawa!! Then how come hao wamepona?
Na vipi yule wa Kenya? Sikusikia tena. Shwain zako we Kirusi, nitafata tu tahadhari na kumuomba Mungu wangu wallah lkn sitaki kusikia story yoyote kumuhusu Corona.
 
Kuna baadhi ya wanawake wakisema hapana nia uendelee kumpa mistari zaidi ili alegee, huwa hivyo pia hata mkiwa chumbani, ndiyo maana baadhi ya wanaume huwa ving'ang'anizi wakiamini huwaenda siku moja wakafikiriwa
Eti huwa tunafanyaga nini kuwaepuka? Moana [emoji3][emoji3]
Ila wanaume muwage waelewa jamani, wengine hatuna lugha chafu basi nikikwambia hapana haiwezekani uelewe. Huwa mnatutesa sana mwisho wa siku naishia kukipiga Block
 
Back
Top Bottom