Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Wale wale tusiojua kufungua next page mpaka tupake mate kidoleni.Kuna seneta hapa alikuwa kwenye TV akitoa nasaha watu waache kujishika usoni hovyo hovyo kumbe jamaa wanamhesabia. Hotuba ya dakika tatu alikuwa keshajishika usoni zaidi ya mara tisa na mara tatu alilowesha kidole chake kwa ulimi ili afungue hotuba yake na kuendelea kusoma. Sasa hivi kageuka meme tu inatrendi [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu ubaya ni mimi sipakagi make up, so usoni nafika chap sana. BTW for the sake of Corona Virus itabidi nianze kupaka ili nikitaka kujishika tu niogope kujitoa make up yangu 😀😀😀