Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna dr cold huwa inasaidia kupoteza mafua. Ipo vidonge na ya maji piaMafua na panadol?!! Wenzetu mko na kinga nzuri.
Mimi mafua yakinionea huruma week moja.na hapo nishameza chenga chenga, citrizen + madawa yale ya maji.
Panadol sbb ya kichwa, huwa napata homa acha kabisa