Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200317-083157_Facebook.jpeg
 
Sasa kwenye interview ndiyo utalijibuje, maana hilo swali ni gumu tena bora uulizwe huko nyumbani unaweza hata kuingiza utani hilo swali kwenye interview ni gumu acha tu.
Sehemu nyingi tu.
Nitalijibu tu kwenye interview..kwanza nitakuwa nimejipanga..ila huku nyumbani watu nipo nao kila siku halafu wakaniulize Mimi Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom