Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati watu wakizidi kugeukia ulaji wa mboga mboga kwa sababu za kiafya na mazingira, utafiti mpya umeonesha wanaokula mboga mboga wapo katika hatari kwa 20% zaidi kupata ugonjwa wa Kiharusi, kuliko wanaokula nyama. Hii inahusishwa na upungufu wa lehemu na baadhi ya virutubisho.
 
Sex tourism: (Utalii wa ngono) ni aina ya utalii ambapo watu husafiri kwenda sehemu fulani kwa lengo la kupata huduma ya ngono. Wanaume na wanawake wote hufanya hivyo. Maeneo ambayo wanaume hupenda kwenda kufanya utalii huo ni Asia (Thailand, Ufilipino n.k), Amerika ya Kati na Kusini pamoja na Afrika. Wanawake hupendelea zaidi nchi za kiafrika. Gambia ni maarufu zaidi kwa wanawake kutoka Ulaya ambapo hutembelea kufanya utalii huo. Kwa Afrika mashariki, Kenya inatajwa kuongoza. (Mirror, Vice, Wikipedia)
 
Safari za ndege fupi zaidi duniani zinatumia dakika 1 tu. Safari hizo zinafanyika kati ya visiwa viwili vya Scotland, Westray na Papa Westray. Visiwa hivyo vinatenganishwa na bahari kwa kilomita 2.7 tu. Safari 4 hufanyika kila siku. (Wikipedia)
 
Katika Ku-shoot Movie Ya John Wick: Chapter 3 Maeneo Ya Essaouira Nchini Morocco, Eneo La Ku-shoot Lilikuwa Na Mamia Ya Paka Wa Mtaani Hali Iliyopelekea Production Team Kuingia Tena Gharama Ya Kutengeneza Vibanda Vya Kuwafungia Paka Hao Ili Wasiwasumbue Mbwa Ambao Walikuwa Wanatumika Katika Utengenezaji Wa Movie Ya John Wick 3.
 
Nguvu yao kubwa sana huko, maelezo utayatolea behind bars huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani demu akitaka kukuharibia maisha ni kukusingizia tu kuwa ulimdhalilisha kingono. Hata kama ni kwa maneno tu mtu ushafutwa kazi mara moja. Makampuni yanaogopa balaa kuja kupigwa hela ndefu wakipelekwa mahakamani...Scary....
 
Back
Top Bottom