Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tafiti pia zimeanza kuonyesha uhusiano wa simu hizi na ongezeko la kansa za ubongo...na ni mtuhumiwa nambari wani wa kuongezeka kwa insomnia na kudhoofika kwa mbegu za wanaumeTafiti: Matumizi ya WIFI, Simu za mkononi huongeza hatari ya kuharibika ujauzito, sababu inatajwa ni kutokana na miale ambayo inatolewa pale unapotumia kila mara.