moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Unatakiwa ujaribu
Sijawahi ona mtu akinywa nyagi ya baridi
Sijawahi ona mtu akinywa nyagi ya baridi
Mimi? Nichome maini yangu kabisa 😀
Yaani hapa nilipo ni full upako bro. Nimekemea sana....Cha msingi umeangalia na haukushirikisha moyo
Big up bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mbona niaje niaje wakishua full michapio kwa sana 😀Haijailshi hreufi zipo kewnye mpnagliio gani, cha mhuimu ni hruefi ya kawnza na ya miwsho tu ziwe saihhi.
Mtu ataosma vziuri tu kwa sbaabu huwa tnuasoma neno zima siyo hreufi moja moja. (Cambridge University)
Yaan me siwezagi kumaliza nusu saa sijajishika usoni...naelekea kupata mateso
[emoji23][emoji23][emoji23]si umeelewa eeMbona niaje niaje wakishua full michapio kwa sana 😀
Busara tupu yaani...[emoji1547][emoji1547][emoji1547]Chamsingi ni ku Trust the Process tu
Fear is stronger than love
Utafiti uliofanyika mwaka 2018 na kampuni ya Mobdata nchini China ulionesha kuwa wanaopenda kutumia simu za iPhone ni watu masikini huku mabwenyenye (Matajiri) hupendelea zaidi kutumia simu za Huawei.
Hili jiwe wamelipachika jina la Apophis na watu wa conspiracy na wanaoamini katika unabii wa kitabu cha Ufunuo katika Biblia wanaamini kuwa jiwe hili litaitwanga dunia mwaka 2029 na NASA wanajua japo wanaficha. Eti ndiyo sababu iliyomfanya Trump kuunda tawi jipya la jeshi la Marekani linalojihusisha na mambo ya anga za juu pekee. Eti tayari kuna kitengo kinachohangaika kuona nini cha kufanya ikiwemo kurusha vyombo vyenye mabomu ya Nyuklia na kwenda kuyaripua karibu na jiwe hili ili kulifanya lisogee kidogo kwenye njia yake na kuwa mbali kidogo na dunia ili litukose kose huo mwaka. Mwaka 2004 lilipita kwa mbali kidogo na hata likitukosa mwaka 2019 likija kurudi tena kwa hakika halitaikosa dunia....
Elon Musk: "A big rock will hit Earth eventually"