Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Utafiti wa Kisaikolojia ulioongozwa na Profesa Nancy Digdon wa Chuo Kikuu cha MacEwan Canada umeonyesha kuwa kuandika mazuri uliyofanya/yaliyokutokea katika siku hukupa usingizi mzuri zaidi. Umebainisha kuwa utaratibu huo hupunguza wasiwasi na kutarajia siku mpya yenye matumaini.