Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200316-WA0023.jpg
 
Hapo sasa najua atakuwa anatafuta majibu mabaya, maana mwanzo huwa tunakuwa wastaarabu tu ila wanavyoendelea wanatusababisha tujibu vibaya, halafu waje kulalamika kuwa wanawake wa siku hizi tuna majibu mabaya ndiyo maana eti tunachelewa kuolewa, wanaume wa bongo bhana.

Hakuna mwanaume aliye tayari kushare, hivyo mwanaume akinijibu hivyo nami namchukulia kuwa hayuko serious na mimi.
Nimekupata vyema Moana

Hao wa kusema wapo tayari kushare wapo sana sema tu wanakuwa hawapo real, ni wale eat and run
 
[emoji1787][emoji1787] ila mie sielewagi kwanini kubadili id inaonekana ni kitu cha ajabu eti
Kwa sababu unakua umezoeleka kwa hio ID mfano leo nibadili niite Jennis. Hata mie ntajishtukia na kujiona mgeni,walionizoea wote watapata tabu kuzoea ID mpya.

Nilianza kuizoea ya karma ujue,hasa kwa zile selfie matata uzi wa sangoma
 
Kumbe Karma ndiyo kawa Moana?

Hoooovyoooo !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom