Kisoko flani hivi kipo kwenye ile barabara ya nyerere roadSijakuelewa
Kisoko flani hivi kipo kwenye ile barabara ya nyerere roadSijakuelewa
😀😀😀 hiyo stage ujapita😂😂😂😂 daah!View attachment 1391000
Kwamba hauna usingizi kiasi hicho?Hatare kama piriton vile hata usingizi imegoma kunipa[emoji23][emoji23][emoji23]
Amen[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Japo hapa nilipo naumwa.
Nawaza na Corona ikinikuta sijui itakuwaje
Aah kule sijazoea kwenda ingawa nishawahi kwenda.Kisoko flani hivi kipo kwenye ile barabara ya nyerere road
Graphics kama hizo nilikuwa nakutana nazo kwenye simu tu, kama unakumbuka ile Real football kutoka Gameloft ndio ilikuwa hivyo 😁😀😀😀 hiyo stage ujapita
😂😂 kwenye vinokia enzi hizoGraphics kama hizo nilikuwa nakutana nazo kwenye simu tu, kama unakumbuka ile Real football kutoka Gameloft ndio ilikuwa hivyo 😁
Umeona eenh?? Mie huwa nawaambia tayari nina mtu vipi uko tayari kushare na mwanaume mwenzio?? Nikijua kwamba wanaume huwa hawapendi kushare wanawake hivyo wakisikia wanajiengua wenyewe!! Japo wengine wabishi hao huwa wanasema hayo ndiyo majibu yetu wadada washayazoea maana huwa hatumaanishi!!
Daah! Acha tu mzee nimekumbuka express Music yangu 😂😂😂😂 kwenye vinokia enzi hizo
Sijakuzidi weweAah kule sijazoea kwenda ingawa nishawahi kwenda.
Ila we nae ni mtembezi
Kuna mtu mmoja humu JF tena mkongwe sana aliwahi niambia "mtu anapoamua kubadili id huwa na sababu zake binafsi", na chanzo cha yeye kuniambia hivyo ni baada ya mimi kumuomba mtu fulani ninayemkubali sana humu arudishe id fulani aliyowahi kuitumia hapo nyuma.
Mb 100 kipindi hicho kama gb 1Daah! Acha tu mzee nimekumbuka express Music yangu 😂😂
Vipi akisema yupo tayari kushare?
We umezidiSijakuzidi wewe
Kuna demu nilimng'ang'ania fo thrii fulu yiazi. Mwishowe akatoa mzigo eti ili nisiendelee kumsumbua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Sent using Jamii Forums mobile app