Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Hatari sana hii.Ndio[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana hii.Ndio[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Nimeshajua ulikua unachagua nini 😁😁🤣🤣 dah!
Hahah! God of War nilikuwa naishia kwenye yule Monster yupo kama Chura aisee sikuwahi kuvuka hapo.....
Vipi kile kipengele ukitaka kuingia adi ujibu Yes au No kule Waptric ulikuwa unaingia?
Mtag kama kawaida kisha rudi kwenye hio post kwa style ya kuedit futa ID yake katikati ya mabano kisha bandika hio a.k.aWakuu hvi kutag mtu kwa a.k.a unafanyaje?
Nyie watoto wa matajiri mnakaa kutusumbua humu..Ngoja tu nikazie...huu uzi una watoto wa kishua sie maisha magumu ngoja tukae nyuma [emoji3][emoji3] Saint Anne au sio dogo
🤣🤣 🙌🏽[emoji23][emoji23][emoji23]hadi magemu yake nshavuta ila ya kitoto shuain zao walinimalizia vocha
Mimi najijua ✋Nyie watoto wa matajiri mnakaa kutusumbua humu..
Mnawajua wenye maisha magumu nyie?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]🤣🤣 🙌🏽
Mimi nlikuwa naenda nayo shule kila jumamosi full kuosheaHahah! Nimeshajua ulikua unachagua nini 😁😁
Ila umenikumbusha mbali sana bro kipindi hicho pale Kitonga st Upanga nilikuwa napata ugeni kutoka Tabata, Machalii walikuwa wanafata express Music tunashindana Real football
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi najijua ✋
Anne una umaskin gani hapo wakati kuna maparachichi kibaoNyie watoto wa matajiri mnakaa kutusumbua humu..
Mnawajua wenye maisha magumu nyie?
Sent using Jamii Forums mobile app
EstaMtag kama kawaida kisha rudi kwenye hio post kwa style ya kuedit futa ID yake katikati ya mabano kisha bandika hio a.k.a
Mtag kama kawaida kisha rudi kwenye hio post kwa style ya kuedit futa ID yake katikati ya mabano kisha bandika hio a.k.a
Maparachichi ndio utajiri?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anne una umaskin gani hapo wakati kuna maparachichi kibao
Naona umekosea kutag unatag hio numbisa kisha unapost halafu unarud kuedit unaifuta hio numbisa pekee na kuandika mfano esta
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daah! Wewe binti wewe umevuka boda sasa.....[emoji23][emoji23][emoji23]hadi magemu yake nshavuta ila ya kitoto shuain zao walinimalizia vocha