Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Mhh ni wapi ulipoiona?! HP ya 350k tena ya tokea mwaka 2006.[emoji23][emoji23][emoji23] na ile laptop yako matawi
Bahati mbaya ikatokea. Usinikumbushe machungu 😀😀😀
Mhh ni wapi ulipoiona?! HP ya 350k tena ya tokea mwaka 2006.[emoji23][emoji23][emoji23] na ile laptop yako matawi
Weka tuhakikisheMhh ni wapi ulipoiona?! HP ya 350k tena ya tokea mwaka 2006.
Bahati mbaya ikatokea. Usinikumbushe machungu 😀😀😀
Wewe wa supermarketKilombero tu? Mpaka Tengeru nafika 😀😀
@Kichwa Kichafu mzee wa pete za visoda[emoji23][emoji23]
Acha utomaso kijanaWeka tuhakikishe
Sure na sijui nani kaniroga...ila nyanya, carrot, hoho, viazi utavifata tu Kilombero. Mpaka pad me nanunua supermarket/ pharmacy na hii ilisababishwa na uoga niliokuwaga nao wa kushindwa kutamka dukani kwa Mangi kwamba nataka padWewe wa supermarket
🤣🤣🤣🤣
Nikipata muda ndio naingia humu. Nakuta comments kibao hivyo naenda mwisho nitakae kutana nae ndio huyo huyo. Ila najitahidi kuziongezaLikes zako za kuhesabu acha ubahili
Ni hayo tu
Kuna demu nilimng'ang'ania fo thrii fulu yiazi. Mwishowe akatoa mzigo eti ili nisiendelee kumsumbua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Sent using Jamii Forums mobile app