Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Fafanua kidogo hapaUnaweza ukajua tabia ya mtu na vitu anavyopenda kutokana na aina ya viatu anavyopenda kuvaa mara kwa mara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua kidogo hapaUnaweza ukajua tabia ya mtu na vitu anavyopenda kutokana na aina ya viatu anavyopenda kuvaa mara kwa mara.
HahahaLikes zako za kuhesabu acha ubahili
Ni hayo tu
Noma sana dawa ikikuzoea 🙌Coldrill naona imeanza kunizoea,hio toffplus sijawahi ijaribu,ntaisaka
Hatare kama piriton vile hata usingizi imegoma kunipa[emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana dawa ikikuzoea 🙌
Piriton kwangu haifanyi kitu, ila mama akitumia ye chap tuHatare kama piriton vile hata usingizi imegoma kunipa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Likes zako za kuhesabu acha ubahili
Ni hayo tu
Hee kumbe ndo hiii uwiiii nayo yale yale yanatiririka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] am fine anko,za ulipo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa yuu Anko View attachment 1390992
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushakomaa wewe 🤣🤣Hee kumbe ndo hiii uwiiii nayo yale yale yanatiririka tu
Sio pale matunda?Sure na sijui nani kaniroga...ila nyanya, carrot, hoho, viazi utavifata tu Kilombero. Mpaka pad me nanunua supermarket/ pharmacy na hii ilisababishwa na uoga niliokuwaga nao wa kushindwa kutamka dukani kwa Mangi kwamba nataka pad
SijakuelewaSio pale matunda?
SijakuelewaSio pale matunda?