Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii show imeisha toka miaka kama 13 iliyopita ila Kila mwaka inawaingizia $1Billion. Hao waigizaji 6 wanapata 2% ya mapato ya kila mwaka ambayo ni sawa na 20 million$. Yaani miaka kama 13 wanaingiza 20 million bila kufanya lolote, Bongo tutafika kweli huku?

Naipenda balaa sijawahi kuichoka... Kila mara narudia episodes zote...


Cc: mahondaw
 
Indecent Proposal.jpg





Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom