Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikweli bro lakini kwanini unahusisha hii corona moja kwa moja na kifo?Neno moja la juu linatosha bro.
Siku ikifika haizuliki, lakini hizi njia za kujikinga ni za kisiasa zaidi, mikusanyiko haikwepeki bro kwa hali yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanini kumsumbua kwa issue ndogo kama hizi, mbona ile yako ya kukataa kubagua vyakula sikumletea?Dah, 😕😕😕 hii kesi ata solve inlaw nakwambiaa😭
Yanini kumsumbua kwa issue ndogo kama hizi, mbona ile yako ya kukataa kubagua vyakula sikumletea?
[emoji16][emoji16][emoji16]u wish...
Hujambo totoo?ulilala mchana?maziwa umekunywa??[emoji23][emoji23]
Nisaidie tu cha kufanya nipunguze huo usugu.
Nna case na panadol zilinizoea vibaya, nikawa sugu nikawa nikimeza hata nne mwili haushtuki.
Ikabidi niachane nazo kwa muda, nimeanza kumeza juz kati hapa ndio ikakubali
I love this song[emoji126][emoji126]
Utafikiri havitahengeka. Vinaona maisha vimeyapatia balaa. Hata ukitaka uvipe codes za muhimu ili visirudie makosa yale yale tuliyopitia maneno meeeeengi tu kama cherehani havisikii. Hovyo tu !!!Wewe pia huna adabu, wewe ndio wa kujilinganisha na kina SYB kweli?? Watoto mkianza kuitwa honey mnajiona mmekua kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani, kuna maumivu ya kichwa ya Migraine. Haya hata unywe maji ndoo nzima ni kazi bure aisee! 😀Kunywa maji mengi kupunguza uchovu na maumivu ya kichwa ili ujiweke mbali na hayo mapanadol
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wewe viache, leo vinalilia ukubwa vikihengeka vinaanza kulilia udogo, tabu tupuUtafikiri havitahengeka. Vinaona maisha vimeyapatia balaa. Hata ukitaka uvipe codes za muhimu ili visirudie makosa yale yale tuliyopitia maneno meeeeengi tu kama cherehani havisikii. Hovyo tu !!!
Sent using Jamii Forums mobile app