Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu eti ndiyo kaja na Corona Bongo. Asijekuwa kamwachia na Samagol wetu huko alikotoka...

Wabongo sisi noma aisee...
IMG-20200317-WA0029.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paka' anaweza kunywa maji ya bahari yenye chumvi bila shida yoyote sababu figo zake zina uwezo wa kuchuja kiasi cha chumvi kinachopatikana katika maji hayo bila matatizo yoyote. Binadamu kama utakunywa maji hayo unaweza kufa kwa kiu' kikali zaidi.
 
Back
Top Bottom