Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hyundai imezindua gari jipya, Sonata Hybrid, lenye mfumo wa kuchaji betri kwa umeme wa jua, utakotumika sambamba na mfumo wa sasa. Mfumo huo unaweza kuchaji betri hadi 60% kwa siku, hata gari lisipotumika. Pia utaimarisha matumizi ya mafuta, na kuongeza umbali unaoweza kwenda.