Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
PoleniDaah! Washirika tumeachwa kizembe hivyo?
PoleniDaah! Washirika tumeachwa kizembe hivyo?
Hawa hapa ni wanaume wa likesMpendwa nani nimchune jamani au nyie hapa ni wanaume wa Telegram
😀 😀 😀 🙆♂️🙌🙌
Umeweka picha ukafutaMpendwa nani nimchune jamani au nyie hapa ni wanaume wa Telegram
Constipation tatizo, waweza kujikuta unamaliza hata lisaaUsipende kukaa muda mrefu chooni sababu ni hatari ya afya yako. Inashauriwa usizidishe zaidi ya dakika 5, sababu unaweza kupatwa na tatizo ambalo moja ya dalili zake ni kuvuja kwa kinyesi kitaalamu ugonjwa huo unaitwa Hemorhoids'
Chanzo: Mental Floss
Wapo channel ya telegram sio?
Au wewe ndio unanibembeleza nisimwambie? alafu kesi yako kubwa ujuendo unanibembeleza nisimwambie etii?
Lisaa unafanyaje chooni? Na kwann uende wakati mzigo bado haujashuka
Hutaki?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2297][emoji119][emoji119]
Nani alikutuma uzubaeUmeka picha ukafuta
Balaa na nusuHizi tuition za Numbisa ni balaa, eeh!
Constipation nimesemaLisaa unafanyaje chooni? Na kwann uende wakati mzigo bado haujashuka
Sina uhakika rafiki yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafiti: Wanaume ndiyo wanao ongoza kwa kusema " Nakupenda" kwa mara ya kwanza kuliko wanawake. Sababu zinatajwa nyingi lakini mojawapo wanaume husema hivyo ili kuaminiwa na mwenza wake haraka ili wafanye mapenzi mara ya kwanza haraka zaidi.
Chanzo: Psychology Today, Bustle...