Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Priapism' ni hali inayowapata wanaume ambapo Uume' husimama zaidi ya masaa kadhaa bila uwepo wa vishawishi vyovyote vya kufanya usimame. Matibabu yake kwa muda mfupi ni kujichua (punyeto). Hali ukiona inaendelea muone daktari kwa ushauri na matibabu.
Chanzo: Heathline
Na mara nyingi huwatokea wale wenye ugonjwa wa sicklecell(selimundu)
 
Back
Top Bottom