Unajua. Sisi tunadhani elimu = utajiri. Wrong. Hata huko ilikotoka elimu haina kazi hiyo. Mshtuko wa mwaka niliupata wakati nasoma huko na nikapata bahati ya kufundishwa na profesa mmoja mashuhuri sana duniani na nadharia zake bila kuzikariri pale Mlimani hufiki popote. Kumwona prof mwenyewe laivu kumbe anakuja chuoni kwa baiskeli na anaishi kijumba cha kawaida tu. Kumbe yeye kazi yake kuu ni kurithisha maarifa yake kwa kizazi kipya na jamii inamheshimu sana kwa kazi hiyo. Sisi huku pesa ndiyo mfalme na njia rahisi ya kujipatia pesa ya bure ni kwenye siasa. Ndiyo maana hata wasomi wetu wazuri kabisa ndoto zao ni kwenye siasa. Ili wakatajirike. Hili ni tatizo mojawapo kubwa la jamii yetu ndiyo maana elimu wakati mwingine inakosa maana. Kumbe elimu lengo lake kuu ni kumfanya aipataye akaramke na kuweza kuyaelewa mazingira yake vizuri na kumfanya ayatawale. Pata elimu yako na ukija kutajirika huko mbele utajiri wako utakuwa na faida na maana zaidi kwa jamii .Nlikuwa nataka nidrop out toka zamani,nlikuwa natafuta justification ya kuacha chuo.
Nlikuwa inspired na akina Gates,Zuckerberg,Oprah na Dell.I was stupid.
Kumbe waliodrop out na Ku succeed Ni wale walokuwa wana ishu zingine za muhimu.
Baba yangu anajua jina langu la JF.Alivyoona Uzi Alini confront.
Aliniambia niache utoto.
So Ninaendelea na masomo.Right now,with a different perspective on education.Elimu muhimu Sana.Napiga kitabu Kama kawa.
Plans zingine zitafuata.[emoji4][emoji123]
Ndio ukweli muulize Andjul na Ho chi minhMkuu umenitusi ama
Heshima kwako kakaUzi japo umenikutanisha na marafiki
Na wengine tutapata mpaka wives kabisa humu humu. Safi sana !Uzi umeleta friend wengi