Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mwanzo miaka Hiyo 2008 walikuwa wanapita pale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukome kiranga na wewe, mie kwa kweli matengele huwa sipendi kupita kabisa.
Santino ana I'd nyingi..tofauti na weweNdiyo, mbona adhabu ya kutobadili id milele iko kwangu tu wakati kuna watu kama kina Denvers na Santino hawajapewa hiyo adhabu.
Fanya mpango kesho asubuhi kabla sijaondoka uwe umenipa jina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo miaka Hiyo 2008 walikuwa wanapita pale.
Ilikuwa sio kuzunguka huku boda
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko serious au ndiyo kama kawaida umeshanifanya mie bibi yako kunitaniatania ??
Kumbe Ni Jael [emoji4]Hapana, Lizarazu alikuwa anapenda tu kukiongelea kile kikao cha beijing ila hakunibatiza hilo jina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wabongo bana....
View attachment 1393484
Santino ana I'd nyingi..tofauti na wewe
Da'Vinci hajabadili Sana
Wewe ulijitia mpwa mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamedumu muda mrefu[emoji15][emoji15] hajabadili sana ??
Mondray, Da'Vinci, Denvers, Frankenstein. Na bado zile bandika bandua kati ya Da'Vinci na Denvers.
Haya huyo mwingine naye mara Raphael wa Ureno, Viatu vya Samaki, Mbao za Mawe, Robot la Matope, Santino na zote ni id moja.
Huyo santino wanalijua sekeseke lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15] hajabadili sana ??
Mondray, Da'Vinci, Denvers, Frankenstein. Na bado zile bandika bandua kati ya Da'Vinci na Denvers.
Haya huyo mwingine naye mara Raphael wa Ureno, Viatu vya Samaki, Mbao za Mawe, Robot la Matope, Santino na zote ni id moja.