Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa kwani hao nao wameanza kubadilisha juzi au jana ?? Nao si walianza kubadilisha mapema sana wakiwa bado wageni kama mimi tu unafikiri sijui eti !!
Wamedumu muda mrefu
Wewe mwaka Jana tu,hata mwaka huna unataka max akubadilishie utadhani una undugu naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15][emoji15] hajabadili sana ??

Mondray, Da'Vinci, Denvers, Frankenstein. Na bado zile bandika bandua kati ya Da'Vinci na Denvers.

Haya huyo mwingine naye mara Raphael wa Ureno, Viatu vya Samaki, Mbao za Mawe, Robot la Matope, Santino na zote ni id moja.

Nimecheka sana aisee hasa huyo wa mbao za mawe, viatu vya samaki, roboti la matope [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huyu atakuwa na ishuzi aisee...

Mondray bado mdogo ila nadhani ni wale watu wenye akili sana ambao fikra zao hazitulii kila wakati wanawaza hili na lile. Fikra hizi zimefika mpaka kwenye id....

Na mimi nataka kubadili id sasa wewe na Saint Anne nichagulieni nzuri. Hata kama ni ya Kinyakyusa sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Naona umeamka vizuri...

Eti eat more bloody grass....kha !!!

Korona vipi huko Chuga? Uko poa na jirani yako Mkokaa?
Eat more bloody grass bro 💚

Kwa kweli me huyo corona hata sielewi, I only take caution.
Ofisini nikiangalia tu mbele yangu nakutana na Corona Banner "Ways to prevent covid 19 virus nabaki kucheka tu hihihiii 😀😀😀
Mkokaa eti jirani haujambo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa kumbe ya muda mrefu hivyo halafu hata mie kuna kipindi ilikuwa kila nikiingia kwa gallery yangu lazima niiangalie, usijali bado ninayo nitakutumia.
Imeshatimiza mwaka...nilijirecord kipindi nyimbo inatrend 😅
2019 snap iliniharibu halafu nilikuwaga natumia IPhone, bora sahii nimeacha maana nimerudi Tecno na tecno ukijisnap maneno yanapishana. Basi nikifikiria tu nakoma
 
images (7).jpeg
 
Back
Top Bottom