Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ni sawa na useme kwamba dar wapo wazaramo tu
Halafu ungejua mbeya mjini hakuna wasafwa wengi..wengi wamejaa swaya na mporoto vijijini njia ya kujia tukuyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na useme kwamba dar wapo wazaramo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kyela siyo Mwakaleli
Ni sawa na useme kwamba dar wapo wazaramo tu
Halafu ungejua mbeya mjini hakuna wasafwa wengi..wengi wamejaa swaya na mporoto vijijini njia ya kujia tukuyu
Karibu kijijini huku nikupeleke shamba.Safi kabisa
Huyu Sharif mafao yanaondoka hivi! 😀 😀Ohoooo !!!
View attachment 1393422
Hapana.
Mimi naona Ni sawa tuJoto la Kyela halijafikia la Dar mama, yaani Dar ni kama vile iko kivyakevyake karibu na jua. Imagine mtu uko ufukweni lakini hata ule upepo wa bahari hauusikii, ndiyo kwanza unasweat utafikiri umejifungia ndani.
Nenda ukalale mpwa wa melo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abeeee
Hapana.
Pale Kuna mchanganyiko wa makabila kutoka wilaya mbalimbali..
Nitoe Mimi hapo
Kwenye list yenu sipo Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna vitoto hasa vya kiume, hata kuchambua karanga havijui..havizijui karanga
Ila vinajua tu kujiboost kwa kutafuna karanga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekwambia kila kitu kina mwenyewe.
Mbeya mjini wenyeji ni Wasafwa Na Dar Wenyeji ni Wazaramo kama hutaki acha.
Sent using Jamii Forums mobile app