Niwaambie kitu?? Hiv mnajua km CORONA tulikua nayo na watu tumeugua sana ila serikali haikujua ni ugonjwa gan??
Km mnakumbuka miez km mitatu au minne watu tulikua tupata mafua makali sana na homa kali mno na baadae kikohozi kikavu cha kuumia kifua.... Mpaka selikali ikasema kuna aina ya mafua makali yasiyo ya kawaida yanasumbua na yakatajwa baadhi ya maeneo ambayo watu wameonekana kuugua sana... Na ile homa ilikua inakaa ndan ya wiki tu unaanza kupona...!! Na dalili zake na tabia yake ndo hiyo hiyo ya Corona 100%.
*Mnakumbuka hilo??*
Sent using TECNO F1