Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400012100845_79678.jpg
 
Ila nimepamiss Kyela, nimemiss kuvuka border kuenda Karonga. Siku nikipata nafasi nitaenda hadi Lilongwe, napenda kusafiri mimi daah.
Mimi sipendi kusafiri
Hapa penyewe nilikuja Basi tu,ilinilazimu.

Nilivyotoka,nimepanda bodaboda pale boda,kufika mtoni mto kiwira umejaa unakatiza barabarani
Nikasema Leo ndiyo leo.bodaboda namuuliza vipi hapa tunajitahidi?akasema panapitika tu..
Nilipiga hesabu tungedondoka..na Mimi kuogelea sijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyoka akiingia ndani kama una mafuta ya taa weka matone machache sakafuni halafu yawashe. Akisia tu harufu yake huyoo keshaenda zake....ila uangalie usiunguze nyumba [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe
Nitajaribu..japo sijawahi kumbwa na nyoka Mimi nyumbani
Nahisi nikija muona nyumbani nitazima hapohapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe
Nitajaribu..japo sijawahi kumbwa na nyoka Mimi nyumbani
Nahisi nikija muona nyumbani nitazima hapohapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasaidia pia ukijua kama ana sumu ama la...Nilishawahi kuumwa na joka wakati tunavuna mahindi nikalikanyaga. Madawa ya wazee wa kijijini yakanisaidia hata hospitalini sikupelekwa.
 
Back
Top Bottom