Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe ndiyo hayo!?[emoji23][emoji23]
Kwahiyo leo umeamua kwenda shamba na bibi yako[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanajidai wahenga humu kumbe hata karanga hawazijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo Sio shamba..Hapo Ni kijishamba Cha nyumbani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisema jana kuwa mahali ulipo pana joto kali, mbona mandhali inaonyesha kuwa uoto wa asili uko poa kabisa hapo.
Joto linatoka wapi?
Yaani hapa Ni nyumbani Sio shambani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wa dar mtajua hapo Ni shambani[emoji23][emoji23]

Huyu dada yangu nampenda Sana..Kuna vingi najifunza kwakeView attachment 1393379View attachment 1393394
 
Kila mtu na mtuwe
FB_IMG_1584644744609.jpeg
 
Back
Top Bottom