moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nimekaribia
Ulkuwa nani kabla?
Ingekuwa poa sana...
Bro Jina limekaa kijerumani, sijui ni kituruki, lakini mi huwa nampa haki yake bi Zoë kama lilivyo jina lake [emoji23][emoji23][emoji23]
Haha hiyo ë ni ya kijerumani mkuu, na naona wanaoweka hivyo huwa wana maana yao kimatamshi zaidi. Sababu kuna watu hilo jina wanalitamka "Zo" badala ya "Zoi", kwahiyo hiyo ë yenye dots mbili kwa juu ni kwa ajili ya kuweka msisitizo zaidi katika matamshi.
Karma jina baya. Kama alivyoshauriwa sio vizuri kujiita vile