Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tammy Abraham (Chelsea)

Straika tegemeo wa Chelsea, Tammy Abraham amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya enka kwa kipindi kirefu kabla ya kupumzishwa. Kocha wake Frank Lampard alidai anatarajia staa huyo atarudi mwisho wa Machi.
 
Lakini, wakati huu ambao inaonekana kama msimu huu utachelewa kuendelea, Hazard anaweza kupona kwa wakati na kurudi uwanjani kabla ya ligi haijaisha na kuisaidia timu hiyo kupambana kuwania La Liga na taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Luis Suarez (Barcelona)Suarez alidaiwa kuwa anakaribia kurudi uwanjani baada ya kukaa nje tangu Januari baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti. Awali walisema atakuwa nje kwa miezi sita na atakosa sehemu yote iliyosalia ya msimu.
 
Ousmane Dembele (Barcelona)Huyu naye hana tofauti sana na suala la Suarez. Dembele atakuwa nje kwa angalau miezi mitano kutokana na majeraha ya nyama za paja. Kuumia kwake kuliilazimisha Barcelona kuomba ruhusu ya kufanya usajili wa dharura ambapo ilimnasa Martin Braithwaite.
 
tapatalk_1584561949164.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu mbali mbali zimeonekana kunyapia nyapia wachezaji wanaohisi kuwa watakuwa na mchango kwenye timu zao, pilika pilika hizi zimefanya baadhi ya timu kuonekana kuelekeza macho yao kwa mchezaji mmoja, hali inayofanya thamani za baadhi ya wachezaji kupanda na kuonekana kuwa watasumbua sana kwenye dirisha la usajili la majira ya kiangazi.
 
Klabu inayomtaka:FC BarcelonaKlabu aliyopo: PSGThamani yake: Euro 160 milioniBarcelona bado wanaukumbuka ule utatu wa Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar Jr. uliokwenda kwa jina la MSN. Wakali hawa kutoka Amerika Kusini walikuwa moto. Walikuwa wanatupia mabao na kupeana maasisti kama walivyopenda. Kukutana nao ilikuwa ni kama njozi mbaya ya kukabwa na jinamizi, Hapakuwa na mpinzani aliyetamani kukabiliana nao.
 
Back
Top Bottom