Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah kuna mod ukimtafuta anamualika Max kwenye convo yenu, hata mie this time sikumtafuta Max nilimtafuta huyo mod ila nikashangaa Max akaalikwa na ndiyo akaja kunijibu nikawekwa mtu kati. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi max akuchoke ujue umezidi yule mkaka mtu poa sana mpole. Walivyokubana hadi raha natamani ningekuwepo kushuhudia ubuyu
 
Kubadili badili I'd kama unavyofanya wewe nadhani ni aina furani ya ulevi.
Wapo wanaobadirisha kwa sababu za msingi lakini haiwezi kuwa zaidi ya mara moja
Lol wamenichoka, this time walitaka kunikatalia nikawaambia ndiyo mara ya mwisho sitawaomba tena wakasema nilichokiahidi kitawekwa kwenye kumbukumbu za JF.

Hivyo mimi hapa nilipo sina tena haki ya kubadili id JF milele na milele, uzuri ni kwamba hata mie sina mpango wa kubadili tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom