Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwahiyo hivi viumbe ambavyo inasemekana vinapaazwa unavielezeaje kamanda.
Kwamba kichaka au jabali ambalo limehifadhi labda joka au samaki mkubwa kisha mahali hapo pekee panapata kiwingu kisha baadaye minyororo inashuka kunyakua kiumbe kilichopo mahali hapo na mnakiona kikielekea mawinguni
Hii nadhani inatokea karibu na maji. Kuna kitu kinaitwa water spout. Ni kama ki-tornado ila kinatokea juu ya maji na kinaweza kukatisha nchi kavu japo hakidumu kwa muda mrefu. Tukimbunga hutu tuna tabia ya kubeba samaki na wanyama wengine wa majini na kwenda kuwabwaga nchi kavu (mvua ya samaki...). Hata kitornado cha kawaida kikikatisha juu ya maji kinaweza kuzoa viumbe wa majini na kwenda kuwatupa kule.

Na wakati mwingine unakuta ni vitu vya kawaida tu vinabebwa na kusokotwa hapo katikati; na kwa mtazamaji wa haraka haraka vinaweza kuonekana kama joka refu au dragon kumbe ni nguo tu au uchafu mwingine umesokotana hapo katika kitovu cha kimbunga.

Matukio haya yanatokea sehemu mbalimbali duniani na wenzetu wanajitahidi sana kuyaeleza kisayansi japo kwetu tunayahusisha moja kwa moja na ushirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah kuna mod ukimtafuta anamualika Max kwenye convo yenu, hata mie this time sikumtafuta Max nilimtafuta huyo mod ila nikashangaa Max akaalikwa na ndiyo akaja kunijibu nikawekwa mtu kati. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi wakati wa kubadili Tena sikumtafuta max..ila naamka asbh nakuta amenibadilishia yeye na amenitumia na ujumbe wa kuwa tayari.
Nikazuga kushukuru na kumtakia kazi njema..yaani nilishikwa na aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuwa mtu muhimu sana, usipokuepo hapa inajulikana kuna mtu kapelea kabisa ata Ostaz anakosa raha

Napenda jinsi haujibani yani upo huru unaishi maisha yako halisi unavyojisikia bila kufanya maigizo

Ufanye mpango urudi kwenye umeme wa uhakika bhana...
[emoji4][emoji4][emoji4]
Nitarudi soon[emoji120][emoji120]

Toka niwasifie juzi ustaadh ananikwepa kana Corona hivi..na Mimi wacha nianze kumkwepa.

Nikirudi mtupie picha,,nisafishiemo macho yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah kuna mod ukimtafuta anamualika Max kwenye convo yenu, hata mie this time sikumtafuta Max nilimtafuta huyo mod ila nikashangaa Max akaalikwa na ndiyo akaja kunijibu nikawekwa mtu kati. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Active huyo
Alichonifanya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikuamini alivyokuja max kuijibu ile msg dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nilikua mdogo,hata wiki nilikuwa sijamaliza,nikajisemea tu mwee max atakuwa ameniona fwala sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimbunga kinajulikana bhana SYB, hivi unaniona mi mtoto mwenzio eenh.

Halafu yule kiumbe alikuwa na mwili kama wa binadamu na mabawa yake makubwa

Mara nyingi binadamu huona anachoamini kuwa anakiona kulingana na imani aliyojijengea. Ukikitazama kitu kwa jicho la kishirikina ni kweli utaona mambo ya ajabu sana. Tukio kama hili hili lingetokea kwenye jamii isiyoamini sana ushirikina ungekuta linapatiwa maelezo mazuri tu ya kisayansi na ya waziwazi.

Kulikuwa na kipindi kwenye Science Channel kinaitwa Bizzare/Weird Weather Phenomenon? na walikuwa wanaonyesha mambo ya ajabu ajabu yanayotokana na hali ya hewa na wataalamu walikuwa wakieleza kilichokuwa kinatokea kisayansi...

Ila sisi na ushirikina huu inawezekana kweli alikuwa ni mtu mwenye mabawa au jini akiruka kwenye kimbunga...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
..
Yaliyotokukuta ni yapi hayo?
Lol wamenichoka, this time walitaka kunikatalia nikawaambia ndiyo mara ya mwisho sitawaomba tena wakasema nilichokiahidi kitawekwa kwenye kumbukumbu za JF.

Hivyo mimi hapa nilipo sina tena haki ya kubadili id JF milele na milele, uzuri ni kwamba hata mie sina mpango wa kubadili tena.
 
Ndio huku huku niliko.
Na hili joto navunda Kama ndizi mbivu[emoji21]
Kasumulu huko huko, njiapanda ya kuelekea boda pale pale njiapanda unaelekea ile njia inayoenda Ileje.

Maelezo zaidi kule maana hata mie mtaa siujui hadi nikutajie jina lake umuulizie maeneo yale watakuelekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom