Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Paraphilia, ni hali ya kupenda kufanya vitu vya ajabu wakati wa kufanya tendo la ndoa au kupata hisia za kufanya tendo hilo. Watu wenye paraphilia hufanya visivyo vya kawaida ili kupata msisimko wa kingono. Mfano; kuangalia picha za ngono, kutaka kung'atwa, kupigwapigwa, kuguswa na vitu kama vyuma n.k wakati wa tendo.
Slap me daddy. Slap me again daddy. You can choke me daddy [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Kwa mujibu wa Tafiti Ubongo wa Binadamu wenyewe haujielewi kiutendaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo umechoka sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol, nimekumbuka nikiwa Mbeya nilishawahi kushuhudia kiumbe kama ndege kinazunguka angani lakini si ndege wa kawaida. Alikuwa akipaa kwenye wingu ambalo lilikuwa linajivingirisha kama moshi fulani hivi lakini siyo moshi, na hilo wingu lilikuwa peke yake.
Hicho kilikuwa ni aina ya kimbunga (nsoke) na huyo ni kweli lazima alikuwa ni ndege akiwa amenaswa kwenye hicho kimbunga. Siyo ushirikina [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo umechoka sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
 
FB_IMG_1584553288639.jpeg
 
Back
Top Bottom