Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Paraphilia, ni hali ya kupenda kufanya vitu vya ajabu wakati wa kufanya tendo la ndoa au kupata hisia za kufanya tendo hilo. Watu wenye paraphilia hufanya visivyo vya kawaida ili kupata msisimko wa kingono. Mfano; kuangalia picha za ngono, kutaka kung'atwa, kupigwapigwa, kuguswa na vitu kama vyuma n.k wakati wa tendo.
 
Back
Top Bottom