Ryan Goslin alijiongeza uzito zaidi ya Kg 27 kwa kula barafu inayoyeyuka lengo likiwa kucheza kama Baba wa Peter katika filamu ya The Lovely Bones". Kilichotokea aliambiwa amekuwa mnene sana hivyo nafasi yake akapewa Mark Wahlberg"
Ryan Goslin alijiongeza uzito zaidi ya Kg 27 kwa kula barafu inayoyeyuka lengo likiwa kucheza kama Baba wa Peter katika filamu ya The Lovely Bones". Kilichotokea aliambiwa amekuwa mnene sana hivyo nafasi yake akapewa Mark Wahlberg"
John F Kennedy aliagiza Pakiti 1,200 kutoka Cuba kwa matumizi yake binafsi. Baada ya masaa kadhaa akapitisha sheria kukataza uingizwaji wa sigara za Cuba kwenda Marekani.
Mfanyakazi mmoja kutoka Hispania alikuwa anatoroka kazini na hakuonekana zaidi ya miaka 6 na kipindi chote hicho alikuwa akipokea mshahara. Ilikuja kugundulika baada ya Bosi kutaka kumpa tuzo ya kuwa mfanyakazi bora kwa zaidi ya miaka 20 walikuta Ofisi yake hakuna chochote.
Mwaka 1993 Tupac alipokea Barua kutoka kwa mtoto Joshua ambae alikuwa amebakiza muda mchache wa kuishi kutokana na Kansa. Joshua ombi lake lilikuwa ni kutaka kuonana na Tupac tu. Tupac alisafiri mpaka Maryland na kumchukua Joshua na kwenda nae kutazama mechi ya Basketball. Baada ya kifo cha Joshua Tupac aliamua kubadilisha jina la kampuni yake kutoka Ghetto Gospel Music kwenda Joshua's Dream
Wapenzi wanaopenda kukumbatiana mara kwa mara huwa na furaha zaidi tofauti na wasiofanya hivyo. Lakini hali hiyo ikizidi huwa ni uraibu na humpa shida mmojawapo kama hatokuwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.