Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mtoto wa kike wa Bill Gates' alipoanza Shule ya vidudu (Kindergarten) Bill Gates' aliamua kumsaidia mke wake kwa kumpeleka shule na kumrudisha mwenyewe. Baada ya wiki kadhaa Baba wengine na wakaanza kufanya kama Bill Gates.