Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Duh, wapi hii mkuu
Semeni tu mnataka kutumia mbinu kushawishi msaidiwe kazi za nyumbani. Mapenzi hajaanza leo atiTafiti: Wanaume wanaowasaidia Wake/Wachumba zao kazi mbalimbali za nyumbani huwa na furaha zaidi na pia tendo la ndoa hufanyika zaidi.
RIP coacher. Ila pia nasikia ni baba yake? Je ni kweli?Roger Mayweather,
Kocha mzoefu wa bondia Floyd Mayweather amefariki Dunia View attachment 1392132
Sent using Jamii Forums mobile app
RIP coacher. Ila pia nasikia ni baba yake? Je ni kweli?
Kejeli dhidi ya coronaView attachment 1392126
Semeni tu mnataka kutumia mbinu kushawishi msaidiwe kazi za nyumbani. Mapenzi hajaanza leo ati
Bongo COVID-19 haimuhusu mwenye nyumba. Nimeona hata kwenye flight kama una booking unaweza dai refund au cancel bila ya gharama ya ziada.Landlord haruhusiwi kumfukuza mpangaji akikosa kulipa kodi kwa muda huu wa Corona
Lakini sio Bongo jamani
Sent from my iPhone using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23]Kutukana pale ambapo unapokuwa umeumia hupunguza Maumivu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tafiti: Mwanamke hutoa mrejesho mzuri zaidi wa kimahaba (Romance) pale akiwa ameshiba vizuri.
Kama nchi ingekuwa imeinvest kwenye digital technology mashuleni, kungekuwa hakuna haja ya kufunga completely rather to move from conventioanal instructional approach to e-learning methods. Sasa hapa kwa mantiki hiyo itabidi muda pia wa masomo usogwezwe mbele kulingana na hali ya COVID-19 itakavyokuwa.
Wanatuingizaga chaka halafu wanasema usiangalie matendo yangu bali maneno. Hawajua kwamba vitendo vinaongea zaidi kuliko maneno