Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji4][emoji4][emoji4]
Nitarudi soon[emoji120][emoji120]

Toka niwasifie juzi ustaadh ananikwepa kana Corona hivi..na Mimi wacha nianze kumkwepa.

Nikirudi mtupie picha,,nisafishiemo macho yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bado hujajua nini kinamsumbua Ostaz hivyo usimkwepe maana hiyo hali inaonyesha jinsi gani anakufia, labda wacha tu nikuibie siri ila usimuambie (#anawivunawewe)....

Picha usijali ukirudi tu tunakupa baraka
 
Hii nadhani inatokea karibu na maji. Kuna kitu kinaitwa water spout. Ni kama ki-tornado ila kinatokea juu ya maji na kinaweza kukatisha nchi kavu japo hakidumu kwa muda mrefu. Tukimbunga hutu tuna tabia ya kubeba samaki na wanyama wengine wa majini na kwenda kuwabwaga nchi kavu (mvua ya samaki...). Hata kitornado cha kawaida kikikatisha juu ya maji kinaweza kuzoa viumbe wa majini na kwenda kuwatupa kule.

Na wakati mwingine unakuta ni vitu vya kawaida tu vinabebwa na kusokotwa hapo katikati; na kwa mtazamaji wa haraka haraka vinaweza kuonekana kama joka refu au dragon kumbe ni nguo tu au uchafu mwingine umesokotana hapo katika kitovu cha kimbunga.

Matukio haya yanatokea sehemu mbalimbali duniani na wenzetu wanajitahidi sana kuyaeleza kisayansi japo kwetu tunayahusisha moja kwa moja na ushirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji818][emoji818][emoji818]
 
Kwetu hasa watu waliozaliwa karibu na misitu minene, bahari na walio karibu Mapori wanarithishwa simulizi nyingi za kupaazwa viumbe hai , ingawa kuna tukio niliwahi kulishuhudia kwenye msitu mmoja mnene kando ya mto Ruaha huko Selous Game Reserve limeniacha mdomo wazi ingawa siyo tukio la kishirikina
Hii nadhani inatokea karibu na maji. Kuna kitu kinaitwa water spout. Ni kama ki-tornado ila kinatokea juu ya maji na kinaweza kukatisha nchi kavu japo hakidumu kwa muda mrefu. Tukimbunga hutu tuna tabia ya kubeba samaki na wanyama wengine wa majini na kwenda kuwabwaga nchi kavu (mvua ya samaki...). Hata kitornado cha kawaida kikikatisha juu ya maji kinaweza kuzoa viumbe wa majini na kwenda kuwatupa kule.

Na wakati mwingine unakuta ni vitu vya kawaida tu vinabebwa na kusokotwa hapo katikati; na kwa mtazamaji wa haraka haraka vinaweza kuonekana kama joka refu au dragon kumbe ni nguo tu au uchafu mwingine umesokotana hapo katika kitovu cha kimbunga.

Matukio haya yanatokea sehemu mbalimbali duniani na wenzetu wanajitahidi sana kuyaeleza kisayansi japo kwetu tunayahusisha moja kwa moja na ushirikina.
 
Wewe bado hujajua nini kinamsumbua Ostaz hivyo usimkwepe maana hiyo hali inaonyesha jinsi gani anakufia, labda wacha tu nikuibie siri ila usimuambie (#anawivunawewe)....

Picha usijali ukirudi tu tunakupa baraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie Cookie ndiyo aliniitia Max, na id zangu zote kanibadilishia Max ndiyo maana ikawa rahisi kunigundua na kunikataza nisibadili tena.
Active huyo
Alichonifanya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikuamini alivyokuja max kuijibu ile msg dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nilikua mdogo,hata wiki nilikuwa sijamaliza,nikajisemea tu mwee max atakuwa ameniona fwala sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20200318-WA0047.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie Cookie ndiyo aliniitia Max, na id zangu zote kanibadilishia Max ndiyo maana ikawa rahisi kunigundua na kunikataza nisibadili tena.
Pongezi Sana kwa Max popote Alipo.
Ukome,,amekuzawadia Uzi..ila bado huachi kumsumbua,unataka akupe gunia la chawa?[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No halafu unajua hata sijadhani kuwa ni ushirikina, nilibaki tu nashangaa maana sijawahi kuona kitu kama kile ila mawazo ya kwamba eti ni ushirikina, hapana sina
Mara nyingi binadamu huona anachoamini kuwa anakiona kulingana na imani aliyojijengea. Ukikitazama kitu kwa jicho la kishirikina ni kweli utaona mambo ya ajabu sana. Tukio kama hili hili lingetokea kwenye jamii isiyoamini sana ushirikina ungekuta linapatiwa maelezo mazuri tu ya kisayansi na ya waziwazi.

Kulikuwa na kipindi kwenye Science Channel kinaitwa Bizzare/Weird Weather Phenomenon? na walikuwa wanaonyesha mambo ya ajabu ajabu yanayotokana na hali ya hewa na wataalamu walikuwa wakieleza kilichokuwa kinatokea kisayansi...

Ila sisi na ushirikina huu inawezekana kweli alikuwa ni mtu mwenye mabawa au jini akiruka kwenye kimbunga...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah kuna mod ukimtafuta anamualika Max kwenye convo yenu, hata mie this time sikumtafuta Max nilimtafuta huyo mod ila nikashangaa Max akaalikwa na ndiyo akaja kunijibu nikawekwa mtu kati. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikomeshwa shwain zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom