Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si ndiyo hapo sasa, mie hata mwaka haujaisha ila tayari nimebadili mara nne.

Yule dogo sijui huwa anamtafuta mod gani aiseee
Mimi wakati wa kubadili Tena sikumtafuta max..ila naamka asbh nakuta amenibadilishia yeye na amenitumia na ujumbe wa kuwa tayari.
Nikazuga kushukuru na kumtakia kazi njema..yaani nilishikwa na aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani dah[emoji26]
Kama mimekaa mwezi hivi..wakati Nina siku moja tu aisee..
Mimi kukaa kwa watu Ni mtihani.

Nataka niwahi kabla hawajazuia vyombo vya usafiri..maana wakizuia na wakati nipo huku,nitalia na kusaga meno Mimi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wakizuia na simu utasahau matumizi yake
 
Mimi wakati wa kubadili Tena sikumtafuta max..ila naamka asbh nakuta amenibadilishia yeye na amenitumia na ujumbe wa kuwa tayari.
Nikazuga kushukuru na kumtakia kazi njema..yaani nilishikwa na aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnafurahisha
 
Oohh asante dear, na mie kuhangaika kote kule kubadilibadili ni kwa sababu nilikuwa sijapata jina zuri nitakaloweza kulitumia kwa muda mrefu nikakaa nikawaza nikaona nitafute jina ambalo nitadumu nalo muda mrefu na sitabadili tena nikaona hili ndiyo lafaa.

So hata mods wasingenipa hii adhabu ya kutobadili tena, bado huu ndiyo ulikuwa mpango wangu kutobadili tena.
MMU nilikuaepo wakati nikiwa mgeni nikaja kupenda sports,celebrities na hapa zaidi.

Nimeanza kukuona kwa uzi wa selfie kwa ID ya karma. Ila nitaizoea zoe maana ni ya kudumu so hii ndo nzuri zaidi.

Edelyn na mariana nazo nzuri ila hizi fupi zimekupenda zaidi
 
Hivi Ni kweli kwamba una undugu na melo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kumtafuta tu Mara ya 2 anirudishie jina langu nilihisi mkojo unanitoka..yaani huwa nawaza upande wa pili nachukuliwaje..sipendi kuchosha mtu.

Nadhani atakuwa alisema tu huyu Mtoto lol,Ngoja nikibadilishie hivyohivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa mtu muhimu sana, usipokuepo hapa inajulikana kuna mtu kapelea kabisa ata Ostaz anakosa raha

Napenda jinsi haujibani yani upo huru unaishi maisha yako halisi unavyojisikia bila kufanya maigizo

Ufanye mpango urudi kwenye umeme wa uhakika bhana...
 
..
Hivi Ni kweli kwamba una undugu na melo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kumtafuta tu Mara ya 2 anirudishie jina langu nilihisi mkojo unanitoka..yaani huwa nawaza upande wa pili nachukuliwaje..sipendi kuchosha mtu.

Nadhani atakuwa alisema tu huyu Mtoto lol,Ngoja nikibadilishie hivyohivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol wamenichoka, this time walitaka kunikatalia nikawaambia ndiyo mara ya mwisho sitawaomba tena wakasema nilichokiahidi kitawekwa kwenye kumbukumbu za JF.

Hivyo mimi hapa nilipo sina tena haki ya kubadili id JF milele na milele, uzuri ni kwamba hata mie sina mpango wa kubadili tena.
 
Back
Top Bottom