Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.266863635899008E18.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamepata sehemu ya kupigia pesa na hawachelewi
Jana nimeona bri ya hand sanitizer imepanda,mls 500 inauzwa 100k.
Watu wanatengeneza majumban na kuuza kwa bei hiyo

Mungu atusaidie tu kwakweli
Kuna ile lovillea tetesi inasaidia kuzuia korona,imepanda kutoka 2000 hadi 50000 daah
 
Back
Top Bottom