Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MASKINI Liverpool katika msimu ambao kila kitu kila walichogusa kiligeuka dhahabu, virusi vya corona vinataka kuharibu kila kitu. Huruma.
Walizidi kujidai na kutupigia makelele wacheza rede wa Mwakaleli wale. Mi nasemaga kila siku kwamba maisha ni haya haya na kasayari ni haka haka hakuna kengine....Muhimu sana kuwa humble [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
2.26684783528500096E18.jpg
 
“Tusiwe na taharuki ili tuendelee na shughuli zetu, hatua zitaendelea kuchukuliwa, tupunguze mikusanyiko, maduka na masoko shughuli zitaendelea, huduma za usafirishaji zitaendelea ila abiria wasijazwe (iwe level seat), tunawahifadhi wagonjwa tatizo likiisha tutawatoa” - WAZIRI MKUU MAJALIWA
#MillardAyoUPDATES
Eti abiria wasijazwe....

Anajua hata hali ilivyo kwenye mwendokasi na daladala?
 
Back
Top Bottom