Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1583867815903.jpeg
 
Hio id naitaman maana nitaonekana mhenga ila sasa sina fact za kuielezea mpaka nirudishiwe

Koromije korona hamna ila waendesha baiskel mwanzo mwisho mask cheeeiii

Mmmh TP hazinihusu mie,hapa ni mwendo wa maji kama kawaida
Hili suala la mask linahitaji elimu kwakweli
Watu wanavaa na hawajui kwanini wanavaa
 
“Tusiwe na taharuki ili tuendelee na shughuli zetu, hatua zitaendelea kuchukuliwa, tupunguze mikusanyiko, maduka na masoko shughuli zitaendelea, huduma za usafirishaji zitaendelea ila abiria wasijazwe (iwe level seat), tunawahifadhi wagonjwa tatizo likiisha tutawatoa” - WAZIRI MKUU MAJALIWA
#MillardAyoUPDATES
 
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kufunga mipaka yao na kupiga marufuku Raia wa kigeni wasiingie Ulaya kwa siku 30 ili kudhibiti kuenea kwa corona, waathirika wa corona wameongezeka Barani Ulaya hadi kufikia zaidi ya 60,000 na vifo ni zaidi ya 2,700.
•
Uamuzi huo umefikiwa katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video na kudumu kwa zaidi ya saa tatu na kuungana pamoja katika juhudi za kuvidhibiti virusi hivyo ambavyo vimesababisha hasara za kiuchumi Duniani.
( via @dw_kiswahili )
 
Back
Top Bottom