Utavaa tu😀😀😀Hiyo raba kafali hata hata ikiuzwa buku tano sinunui
Utavaa tu😀😀😀Hiyo raba kafali hata hata ikiuzwa buku tano sinunui
Nikinunuliwa nitavaa 😀😀😀Utavaa tu
Hicho kiatu ukikivaa ndio kinakua kizuri mguuni 😀Kibayaaaa[emoji125][emoji125]
😂😂😂😂😂Wewe kakijana ule uzinduzi ndo ulikutambulisha so tuliaaaaaaa
Nasikia Matuidi nae tayariORODHA YA KAMILI
Daniele Rugani (Juventus)
Manolo Gabbiadini (Sampdoria)
Omar Colley (Sampdoria)
Albin Ekdal (Sampdoria)
Antonio La Gumina (Sampdoria)
Morten Thorsby (Sampdoria)
Fabio Depaoli (Sampdoria)
German Pezzella (Fiorentina)
Patrick Cutrone (Fiorentina)
Dusan Vlahovic (Fiorentina)
Callum Hudson-Odoi (Chelsea)
Mikel Arteta (Arsenal)
Luca Kilian (Paderborn)
Timo Hubers (Hannover)
Hyun-Jun Suk (Troyes)
Ezequiel Garay (Valencia)
Hahah! Kwamba hujaielewa?😀😀😀Hiyo raba kafali hata hata ikiuzwa buku tano sinunui
Yes mpendwa mbayaHahah! Kwamba hujaielewa?
Watu hawataki kupitwa na fashionNikinunuliwa nitavaa 😀😀😀
Daah wanatukatisha tamaa maana ligi itachelewa zaidNasikia Matuidi nae tayari
Beki wako Mangala naye anayoNasikia Matuidi nae tayari
Sema mguu wangu utakipendezeshaHicho kiatu ukikivaa ndio kinakua kizuri mguuni 😀
#AchakubezakaziyaKanye
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Amen anko. Nashukuru sana. Barikiwa zaidi.Anko binti mpole, kwa heshima uliyo jipatia kwa uelimishaji wako hapa, naomba mimi kama mimi nikuheshimu kuanzia sasa kwa kukuita Mama semina, ni vingi nimejifunza kutoka kwako, hasa ya kulala mchana kwa ajili ya yale mambo,vikorombwezo vya kunyoa, na mengine mengi.
Heshima iwe yako kweli maana ni juhudi zako [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mpendwa sura ya kiatu sio nzuri sana lakini siunajua watu hawanunui kiatu tu bali wananunua brandYes mpendwa mbaya
Jinsi hali ilivyo huko nchi za ulaya nahisi bado tutaendelea kusubiri sanaDaah wanatukatisha tamaa maana ligi itachelewa zaid
Naona kuna kikao epl kuendelea bila mashabikiJinsi hali ilivyo huko nchi za ulaya nahisi bado tutaendelea kusubiri sana