Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

465012456_271517.jpg
 
Voice of reason...Nakukubali sana.bro.. [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]

Watu wa conspiracy wanasema kuwa huu ulikuwa ni mkakati wa kuidhoofisha China kiuchumi lakini naona unataka kubakifaya....
We can not even learn from the sample... Kenya + Tz tayari tunao watu wenye maambukizi, pamoja na umasikini wetu na vifaa duni tulivyo navyo bado hawa watu wanasurvivor japo lolote linaweza kutokea ila ingekuwa Ebola hapo au ata kipindupindu tu tungekuwa tumeshaongea mengine. Corona is Overrated bro

Kukwama kwa shughuli za kibinaadamu ambako kutapelekea kuyumba uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja ndio point ambayo tunatakiwa kuishikia bango ila sio kifo
 
Voice of reason...Nakukubali sana.bro.. [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]

Watu wa conspiracy wanasema kuwa huu ulikuwa ni mkakati wa kuidhoofisha China kiuchumi lakini naona unataka kubakifaya....
Niliona post Wachina wanaambia Marekani waseme ukweli kwamba kirusi kilianzia America...... Hii Dunia hii kuna watu wameishika wanafanya wanavyojisikia wao

Kuna kauli yako moja siikumbuki vizuri ila inasound kama "Dunia ya wababe" ndio haya sasa yani Tembo wawili wanabutuana ila sasa wanatuumiza adi sisi wakina sisimizi
 
Back
Top Bottom