Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huduma ya sauti 'Siri' kwenye iPhone hurekodi mazungumzo ya watu bila wao kujua, jarida la Forbes limeripoti. Apple wamekiri kuwa hutumia 1% ya mazungumzo yanayorekodiwa kuboresha huduma hiyo, na kuwa hawahifadhi rekodi hizo kwa kutumia Apple ID au majina ili kutomtambua mhusika.