Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hehehehe cheiiii,shwari kabisa,mzima?Habari bibi tomato[emoji23][emoji23]
Hehehehe cheiiii,shwari kabisa,mzima?Habari bibi tomato[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]nimeipenda id ya [emoji534][emoji534]Hehehehe cheiiii,shwari kabisa,mzima?
AfadhaliWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesitisha masomo kwa vyuo vikuu na vya kati nchini Tanzania kuanzia leo Machi 18, 2020. Amewataka waliofunga kutorudi vyuoni #MwananchiUpdates
Andaeitini mwingine huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afadhali
Ukiweza nitafanya kama yule shabiki wa Simba aliyewekwa na Moud hapa 😀Mkuu mbele ya pesa najilipua 😁😁😁
Mpendwa unanichukulia poa comment yako Nimeisreenshort kwa ushahidi wa baadae.Ukiweza nitafanya kama yule shabiki wa Simba aliyewekwa na Moud hapa 😀
😂😂😂😂Andaeitini mwingine huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 Ukiweza na mimi nitakualika uje kushuhudia nikitimiza ahadi yanguMpendwa unanichukulia poa comment yako Nimeisreenshort kwa ushahidi wa baadae.
Hutoweza mpendwa 😀😀😀😂😂😂😂 Ukiweza na mimi nitakualika uje kushuhudia nikitimiza ahadi yangu
Kina fanana na changu nilichonunua kalume bei rahisi buku kumi
Saudi Arabia imetangaza kuifunga Misikiti yake yote na kuwataka Waumini kuswali swala tano za kila siku na Swala ya Ijumaa wakiwa kwenye nyumba zao lengo likiwa ni kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona, Ibada itaendelea kwenye Misikiti miwili mitakatifu pekee ya Makka na Madina lakini milango ya Misikiti mingine yote inafungwa.
#MillardAyoUPDATES
Hio id naitaman maana nitaonekana mhenga ila sasa sina fact za kuielezea mpaka nirudishiwe[emoji23][emoji23]nimeipenda id ya [emoji534][emoji534]
Mzima,corona anasemaje huko?
Umeshanunua TP(toilet paper) na wewe maana ndo nasikia zinanunulika sana[emoji23]
Najiamini kwasababu najua na wewe hutoweza Mpendwa 😀Hutoweza mpendwa 😀😀😀
Iran imewaachia kwa muda wafungwa 85000 kutoka Gerezani wakiwemo wafungwa wa kisiasa ili kupunguza kuenea kwa virusi vya corona, bado hawajatoa maelezo ya kwamba ni lini wafungwa hao watarudishwa tena Gerezani na namna ambavyo wataweza kuwapata tena kutoka Uraiani.
•
Wafungwa walioachiwa ni wale wanaotumikia kifungo kisichozidi miaka mitano, Iran tayari imeripoti wagojwa wa corona 16,169 na vifo vimefikia 988 hadi sasa.
😂😂😂😂 kwani chako kina internal GB ngapi na camera yake ina ukubwa gani?Kina fanana na changu nilichonunua kalume bei rahisi buku kumi
[emoji23]Ukiweza nitafanya kama yule shabiki wa Simba aliyewekwa na Moud hapa [emoji3]
Basi nioneni na mimi muhenga au hamuoni nimeingia mwaka gani humu?Hio id naitaman maana nitaonekana mhenga ila sasa sina fact za kuielezea mpaka nirudishiwe
Koromije korona hamna ila waendesha baiskel mwanzo mwisho mask cheeeiii
Mmmh TP hazinihusu mie,hapa ni mwendo wa maji kama kawaida
Kibayaaaa[emoji125][emoji125]
Wewe kakijana ule uzinduzi ndo ulikutambulisha so tuliaaaaaaaBasi nioneni na mimi muhenga au hamuoni nimeingia mwaka gani humu?