Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464824948_291985.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na unajua sitaki tena kurudi kule kwenye yale maisha, siku hizi na mie nimekuwa mwana chit chat kule kwingine hata nikipita huwa sicomment sana kama zamani.
Nilikuwa katibu wa Beijing conference kwenye vile vyeo alivyogawa lizarazu pamoja na takwimu zake .
Wewe ulikuwa mwenyekiti wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oohh asante dear, na mie kuhangaika kote kule kubadilibadili ni kwa sababu nilikuwa sijapata jina zuri nitakaloweza kulitumia kwa muda mrefu nikakaa nikawaza nikaona nitafute jina ambalo nitadumu nalo muda mrefu na sitabadili tena nikaona hili ndiyo lafaa.

So hata mods wasingenipa hii adhabu ya kutobadili tena, bado huu ndiyo ulikuwa mpango wangu kutobadili tena.
Safi kabisa inabidi tuanze kukuzoea kwa hii ID
 
Back
Top Bottom