Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah hata mie naipenda sana hiyo kanuni, na Karma ndiyo id yangu pendwa kuliko zote ila tu nilishauriwa kuwa sometimes majina tunayojiita yana mchango mkubwa sana kwenye maisha yetu na ukizingatia kuwa Karma can be either good or bad.

Halafu kuna watu wakawa wanadhani mie mwanaume, kwamba eti ile id imekaa kiume.
Ndivyo nilivyokufahamu...

Na nalipenda sana. Ni falsafa mojawapo inayoendesha maisha yangu...sawa na ile Golden Rule ya watendee wengine unavyotaka wewe utendewe. Haki !!!
 
Hata mimi sidhani kama ni ushirikina nijuavyo ni matukio ya kiasili na wenyeji wanayaelezea kama wanavyoyajua jinsi walivyofundishwa
No halafu unajua hata sijadhani kuwa ni ushirikina, nilibaki tu nashangaa maana sijawahi kuona kitu kama kile ila mawazo ya kwamba eti ni ushirikina, hapana sina
 
Mimi shida yangu ni hizi masks wabongo wataanza kuazimana[emoji2944]utasikia shosti niazime nifike stand kuna mzigo wa madela umeshuka[emoji13][emoji1322]

Sent using TECNO F1
Nipo huku kijijini kwangu, jana binti katoka mini market kununua vifaa vya kujikinga na corona, ananiambia "baba, mask moja ni sh.10,000....."
Nikaishia kucheka tu.
Mungu atuepushie mbali huu ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20200319_042833.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom