Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kitambo sana mkuu maraia wengi mmebadili jezi hivyo tunapoteana kabisaHuku tuko poa kabisa kamanda.
Kitambo sana mkuu maraia wengi mmebadili jezi hivyo tunapoteana kabisaHuku tuko poa kabisa kamanda.
Nilijiitaga zoe humu
Hapana 4 sikupata mda sana kuichezaHivi ulishawahi piga ile crazy football kwenye ps4?
Ndo nkawafwata mod nikachange[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Hahah! Niliambiwa ni jina lakike ikabid nichange
Basi kuna crazy hiyo unacheza kwa kufata maelekezo na magoli yake yanahesabika kama yale ya basketball kwahiyo kupigwa 50 kawaida tu, humo ndani kama Shaulin soccer ukipiga mashuti mpira mixer kuwaka motoHapana 4 sikupata mda sana kuicheza
Ndo nkawafwata mod nikachange
Ulkuwa nani kabla?Oohh hapo sawa
Nitacheza siku mojaBasi kuna crazy hiyo unacheza kwa kufata maelekezo na magoli yake yanahesabika kama yale ya basketball kwahiyo kupigwa 50 kawaida tu, humo ndani kama Shaulin soccer ukipiga mashuti mpira mixer kuwaka moto
Hahaha, muhimu uzima tu mkuu.Kitambo sana mkuu maraia wengi mmebadili jezi hivyo tunapoteana kabisa
Hahah! Tutazoea tu sema naona bro Moud ndio hataki tabu kabisa, yeye anapachika kidude chochote tu hapo juu [emoji23][emoji23]
Eat More by Joe C.
Eat more fruit, the slogans say,
More fish, more beef, more bread!
But I’m on Unemployment pay
My third year now, and wed.
And so I wonder when I’ll see
The slogan when I pass,
The only one that would suit me,
Eat More Bloody Grass!
#Flashback
#IssaTBT
éë
From tecno wereva
Ingekuwa poa sana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona mnapata taabu jamani, ningekuwa nina chance nyingine ya kubadili id ningebadili tena nirudishe Karma tu.
😂😂😂Bro Jina limekaa kijerumani, sijui ni kituruki, lakini mi huwa nampa haki yake bi Zoë kama lilivyo jina lake [emoji23][emoji23][emoji23]
PamojaShukrani mkuu